Kiwanukaka

Kiwanukaka ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawanukaka kwenye kisiwa cha Sumba. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiwanukaka imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwanukaka iko katika kundi la Kisumba-Hawu.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search